1. Utangulizi


Kinachofuata hapo chini ni utaratibu ulioanzishwa mwaka huu katika Parokia yetu ya Makambako ili kuwasaidia waumini wapate uelewa zaidi kuhusu Mwaka wa Kanisa, kipindi kwa kipindi. Kila Dominika inatayarishwa mada moja ihusuyo Liturjia au Neno la Mungu linalohusiana na siku hiyo au kipindi hicho. Mada hizo zaweza kutumika pia katika Jumuiya Ndogondogo za Kikristo. Tumeona ni vizuri kuwashirikisha pia wasomaji wa makambako@blogspot.com ili wanaopenda wajisomee na kutafakari.

Nessun commento: